Ezra 10:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wote walipaza sauti na kujibu kwa pamoja, “Ni sawa! Ni lazima tufanye kama unavyosema.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kusanyiko lote wakajibu kwa sauti kubwa: “Uko sawa kabisa! Ni lazima tufanye kama unavyosema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo mkutano wote wakajibu, wakasema, kwa sauti kuu, Kama ulivyosema katika habari yetu, ndivyo vitupasavyo kutenda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wote walipaza sauti na kujibu kwa pamoja, “Ni sawa! Ni lazima tufanye kama unavyosema.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kusanyiko lote likajibu kwa sauti kubwa: “Uko sawa kabisa! Ni lazima tufanye kama unavyosema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kusanyiko lote likajibu kwa sauti kubwa: “Uko sawa kabisa! Ni lazima tufanye kama unavyosema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo mkutano wote wakajibu, wakasema, kwa sauti kuu, Kama ulivyosema katika habari yetu, ndivyo vitupasavyo kutenda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wote walipaza sauti na kujibu kwa pamoja, “Ni sawa! Ni lazima tufanye kama unavyosema.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkutano wote pia wakamwitikia na kupaza sauti sana kwamba: kweli inatupasa kuyafanya, uliyoyasema;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo mkutano wote wakajibu, wakasema, kwa sauti kuu, Kama ulivyosema katika habari yetu, ndivyo vitupasavyo kutenda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wote wakasema kwa sauti na kujibu kwa pamoja: “Ni sawa! Tunapaswa kufanya kama vile unavyosema.”