Ezra 10:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kati ya waimbaji: Eliashibu. Walinzi wa hekalu: Shalumu, Telemu na Uri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka waimbaji: Eliashibu. Kutoka mabawabu: Shalumu, Telemu na Uri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wa waimbaji; Eliashibu. Na wa mabawabu; Shalumu, na Telemu, na Uri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kati ya waimbaji: Eliashibu. Walinzi wa hekalu: Shalumu, Telemu na Uri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka waimbaji: Eliyashibu. Kutoka mabawabu: Shalumu, Telemu na Uri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka waimbaji: Eliashibu. Kutoka mabawabu: Shalumu, Telemu na Uri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wa waimbaji; Eliashibu. Na wa mabawabu; Shalumu, na Telemu, na Uri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kati ya waimbaji: Eliashibu. Walinzi wa hekalu: Shalumu, Telemu na Uri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nako kwa waimbaji: Eliasibu; nako kwa walinda malango: Salumu na Telemu na Uri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wa waimbaji; Eliashibu. Na wa mabawabu; Shalumu, na Telemu, na Uri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kati ya waimbaji kulikuwa: Eliasibu. Walinzi wa milango: Salumu, Telemu na Uri.