Ezra 10:44 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanaume hawa wote walikuwa wameoa wanawake wa kigeni. Basi wakawaacha wanawake hao pamoja na watoto wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa wote walikuwa wameoa wanawake wa kigeni, na baadhi yao walikuwa wamezaa nao watoto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao wote walikuwa wameoa wanawake wageni; na wake zao wengine walikuwa wamezaa watoto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanaume hawa wote walikuwa wameoa wanawake wa kigeni. Basi wakawaacha wanawake hao pamoja na watoto wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa wote walikuwa wameoa wanawake wa kigeni, na baadhi yao walikuwa wamezaa nao watoto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa wote walikuwa wameoa wanawake wa kigeni, na baadhi yao walikuwa wamezaa nao watoto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao wote walikuwa wameoa wanawake wageni; na wake zao wengine walikuwa wamezaa watoto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanaume hawa wote walikuwa wameoa wanawake wa kigeni. Basi wakawaacha wanawake hao pamoja na watoto wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawa wote walikuwa wamechukua wanawake wageni, namo mwao hao walikuwamo wanawake waliozaa watoto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao wote walikuwa wameoa wanawake wageni; na wake zao wengine walikuwa wamezaa watoto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hao wote walioa wanawake wa kigeni na wamoja kati yao walizaa na wanawake wale.