Ezra 2:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wa ukoo wa Paroshi: 2,172;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wazao wa Paroshi, elfu mbili mia moja sabini na wawili (2,172);
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wana wa Paroshi, elfu mbili mia moja sabini na wawili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wa ukoo wa Paroshi: 2,172;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wazao wa Paroshi — 2,172
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wazao wa Paroshi 2,172
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wana wa Paroshi, elfu mbili mia moja sabini na wawili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wa ukoo wa Paroshi: 2,172;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wana wa Parosi 2172;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wana wa Paroshi, elfu mbili mia moja sabini na wawili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wa ukoo wa Parosi: elfu mbili mia moja makumi saba na wawili;