Ezra 2:42 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walinzi (wazawa wa Shalumu, wa Ateri, wa Talmoni, wa Akubu, wa Hatita na wa Shobai), walikuwa 139.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mabawabu wa lango la Hekalu: wazao wa Shalumu, Ateri, Talmoni, Akubu, Hatita na Shobai, mia moja thelathini na tisa (139).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akina bawabu; wana wa Shalumu, wana wa Ateri, wana wa Talmoni, wana wa Akubu, wana wa Hatita, wana wa Shobai; jumla yao ni mia moja thelathini na kenda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walinzi (wazawa wa Shalumu, wa Ateri, wa Talmoni, wa Akubu, wa Hatita na wa Shobai), walikuwa 139.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mabawabu wa lango la Hekalu: Wazao waShalumu, Ateri, Talmoni,Akubu, Hatita na Shobai — 139
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mabawabu wa lango la Hekalu: wazao wa Shalumu, Ateri, Talmoni, Akubu, Hatita na Shobai 139
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akina bawabu; wana wa Shalumu, wana wa Ateri, wana wa Talmoni, wana wa Akubu, wana wa Hatita, wana wa Shobai; jumla yao ni mia moja thelathini na tisa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walinzi (wazawa wa Shalumu, wa Ateri, wa Talmoni, wa Akubu, wa Hatita na wa Shobai), walikuwa 139.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa walinda malango walikuwa wana wa Salumu, wana wa Ateri, wana wa Talmoni, wana wa Akubu, wana wa Hatita, wana wa Sobai, wote pamoja walikuwa 139.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akina bawabu; wana wa Shalumu, wana wa Ateri, wana wa Talmoni, wana wa Akubu, wana wa Hatita, wana wa Shobai; jumla yao ni mia moja thelathini na kenda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walinzi wa mulango (wazao wa Salumu, wa Ateri, wa Talmoni, wa Akubu, wa Hatita na wa Sobayi), walikuwa mia moja makumi tatu na tisa.