Ezra 2:43 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Koo za watumishi wa hekalu waliorudi kutoka uhamishoni zilikuwa: Ukoo wa Siha, wa Hasufa, wa Tabaothi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watumishi wa Hekalu: wazao wa Siha, Hasufa, Tabaothi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanethini; wana wa Siha, wana wa Hasufa, wana wa Tabaothi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Koo za watumishi wa hekalu waliorudi kutoka uhamishoni zilikuwa: ukoo wa Siha, wa Hasufa, wa Tabaothi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanethini: wazao wa Siha, Hasufa, tabaothi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watumishi wa Hekalu: wazao wa Siha, Hasufa, Tabaothi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanethini; wana wa Siha, wana wa Hasufa, wana wa Tabaothi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Koo za watumishi wa hekalu waliorudi kutoka uhamishoni zilikuwa: Ukoo wa Siha, wa Hasufa, wa Tabaothi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watumishi wa Nyumbani mwa Mungu walikuwa hawa: wana wa Siha, wana wa Hasufa, wana wa Tabaoti,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanethini; wana wa Siha, wana wa Hasufa, wana wa Tabaothi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hizi ni ukoo za watumishi wa hekalu waliorudi kutoka katika uhamisho: Siha, Hasufa, Tabaoti, Kerosi, Siaha, Padoni, Lebana, Hagaba, Akubu, Hagabu, Semaya, Hanani, Gideli, Gahari, Raya, Resini, Nekoda, Gazamu, Uza, Pasea, Besayi, Asina, Munimu, Nefisimu, Bakuki, Hakufa, Harihuri, Basiluti, Mehida, Harsa, Barkosi, Sisera, Tema, Nezia, Hatifa.