Ezra 2:51 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ukoo wa Bakbuki, wa Hakufa, wa Harhuri,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wazao wa Bakbuki, Hakufa, Harhuri,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wana wa Bakbuki, wana wa Hakufa, wana wa Harhuri;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ukoo wa Bakbuki, wa Hakufa, wa Harhuri,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bakbuki, Hakufa, Harhuri,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wazao wa Bakbuki, Hakufa, Harhuri,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wana wa Bakbuki, wana wa Hakufa, wana wa Harhuri;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ukoo wa Bakbuki, wa Hakufa, wa Harhuri,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wana wa Bakibuki, wana wa Hakufa, wana wa Harihuri,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wana wa Bakbuki, wana wa Hakufa, wana wa Harhuri;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hii ni jumla ya watu waliorudi kutoka katika uhamisho, pamoja na watumishi na nyama wao: Waisraeli: elfu makumi ine na mbili, mia tatu na makumi sita. Watumishi wanaume na wanawake: elfu saba mia tatu makumi tatu na saba. Waimbaji wanaume na wanawake: mia mbili. Farasi: mia saba makumi tatu na sita. Nyumbu: mia mbili makumi ine na watano. Ngamia: mia ine makumi tatu na watano. Punda: elfu sita mia saba na makumi mbili.