Ezra 2:55 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Koo za wazawa wa watumishi wa Solomoni waliorudi kutoka uhamishoni zilikuwa, ukoo wa Sotai, wa Hasoferethi, wa Perudha,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wazao wa watumishi wa Sulemani: wazao wa Sotai, Hasaferethi, Peruda,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wa watumwa wa Sulemani; wana wa Sotai, wana wa Soferethi, wana wa Peruda;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Koo za wazawa wa watumishi wa Solomoni waliorudi kutoka uhamishoni zilikuwa, ukoo wa Sotai, wa Hasoferethi, wa Perudha,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wazao wa watumishi wa Solomoni: wazao wa Sotai, Hasaferethi, Peruda,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wazao wa watumishi wa Sulemani: wazao wa Sotai, Hasaferethi, Peruda,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wazawa wa watumishi wa Sulemani; wana wa Sotai, wana wa Soferethi, wana wa Peruda;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Koo za wazawa wa watumishi wa Solomoni waliorudi kutoka uhamishoni zilikuwa, ukoo wa Sotai, wa Hasoferethi, wa Perudha,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa watumwa wa Salomo walikuwa hawa: wana wa Sotai, wana wa Sofereti, wana wa Peruda,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wa watumwa wa Sulemani; wana wa Sotai, wana wa Soferethi, wana wa Peruda;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu hao waliotoka katika uhamisho, walipofika kwenye nyumba ya Yawe katika Yerusalema, viongozi wamoja wa ukoo hizo walitoa matoleo ya mapenzi kwa kusaidia ujenzi wa nyumba ya Mungu katika Yerusalema.