Ezra 2:60 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wao walikuwa watu wa ukoo wa Delaya wa Tobia na wa Nekoda, jumla watu 652.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wazao wa Delaya, Tobia na Nekoda, mia sita hamsini na wawili (652).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wana wa Delaya, wana wa Tobia, wana wa Nekoda, mia sita hamsini na wawili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wao walikuwa watu wa ukoo wa Delaya wa Tobia na wa Nekoda, jumla watu 652.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wazao waDelaya, Tobia na Nekoda — 652
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wazao wa Delaya, Tobia na Nekoda 652
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wana wa Delaya, wana wa Tobia na wana wa Nekoda, mia sita hamsini na wawili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wao walikuwa watu wa ukoo wa Delaya wa Tobia na wa Nekoda, jumla watu 652.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wana wa Delaya, wana wa Tobia, wana wa Nekoda; nao walikuwa watu 652.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wana wa Delaya, wana wa Tobia, wana wa Nekoda, mia sita hamsini na wawili.