Ezra 2:61 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa koo zifuatazo za makuhani pia walirudi: Ukoo wa Habaya, wa Hakosi na wa Barzilai. Huyo Barzilai alikuwa ameoa binti Barzilai wa Gileadi, naye pia akaitwa Barzilai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka miongoni mwa makuhani: Wazao wa Hobaya, Hakosi, Barzilai (mtu aliyemwoa binti Barzilai Mgileadi, naye akaitwa kwa jina hilo).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena wa makuhani; wana wa Habaya, wana wa Hakosi, wana wa Barzilai, yule aliyeoa mmojawapo wa binti Barzilai, Mgileadi, akaitwa kwa jina lao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa koo zifuatazo za makuhani pia walirudi: ukoo wa Habaya, wa Hakosi na wa Barzilai. Huyo Barzilai alikuwa ameoa binti Barzilai wa Gileadi, naye pia akaitwa Barzilai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka miongoni mwa makuhani: Wazao wa Hobaya, Hakosi, Barzilai (ambaye alikuwa ameoa binti wa Barzilai Mgileadi, naye akaitwa kwa jina hilo.)
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka miongoni mwa makuhani: Wazao wa Hobaya, Hakosi, Barzilai (mtu aliyekuwa amemwoa binti wa Barzilai, Mgileadi, naye akaitwa kwa jina hilo).
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena wa makuhani; wana wa Habaya, wana wa Hakosi, wana wa Barzilai, yule aliyeoa mmojawapo wa binti Barzilai, Mgileadi, akaitwa kwa jina lao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa koo zifuatazo za makuhani pia walirudi: Ukoo wa Habaya, wa Hakosi na wa Barzilai. Huyo Barzilai alikuwa ameoa binti Barzilai wa Gileadi, naye pia akaitwa Barzilai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena kwao watambikaji: wana wa Habaya, wana wa Hakosi, wana wa Barzilai aliyechukua mmoja wao binti Barzilai wa Gileadi, awe mkewe, kwa hiyo aliitwa kwa jina lao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena wa makuhani; wana wa Habaya, wana wa Hakosi, wana wa Barzilai, yule aliyeoa mmojawapo wa binti Barzilai, Mgileadi, akaitwa kwa jina lao.