Ezra 2:64 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wote waliorudi kutoka uhamishoni jumla yao ilikuwa 42,360;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jumla ya watu wote waliorudi walikuwa elfu arobaini na mbili na mia tatu na sitini (42,360);
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi hilo kusanyiko lote zima, jumla yake ilikuwa watu arobaini na mbili elfu na mia tatu na sitini,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wote waliorudi kutoka uhamishoni jumla yao ilikuwa 42,360;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kundi lote lilikuwa na watu 42,360;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jumla ya watu wote waliorudi walikuwa 42,360;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi hilo kusanyiko lote nzima, jumla yake ilikuwa watu elfu arobaini na mbili na mia tatu na sitini,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wote waliorudi kutoka uhamishoni jumla yao ilikuwa 42,360;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huo mkutano wote pamoja walikuwa watu 42360,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi hilo kusanyiko lote zima, jumla yake ilikuwa watu arobaini na mbili elfu na mia tatu na sitini,