Ezra 2:70 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, makuhani, Walawi na baadhi ya watu wengine wakaanza kuishi mjini Yerusalemu na katika vitongoji vyake. Nao waimbaji, walinzi wa hekalu na watumishi wa hekalu wakaanza kuishi katika miji yao; Waisraeli wote waliishi katika miji yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Makuhani, Walawi, waimbaji, mabawabu, na watumishi wa Hekalu waliishi katika miji yao wenyewe, pamoja na baadhi ya watu wengine, nao Waisraeli waliosalia waliishi katika miji yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivyo makuhani, na Walawi, na baadhi ya watu, na waimbaji, na mabawabu, na Wanethini, wakakaa mijini mwao, naam, Israeli wote wakakaa mijini mwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, makuhani, Walawi na baadhi ya watu wengine wakaanza kuishi mjini Yerusalemu na katika vitongoji vyake. Nao waimbaji, walinzi wa hekalu na watumishi wa hekalu wakaanza kuishi katika miji yao; Waisraeli wote waliishi katika miji yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Makuhani, Walawi, waimbaji, mabawabu, na Wanethini waliishi mijini mwao, pamoja na baadhi ya watu wengine, nao Waisraeli waliosalia waliishi kwenye miji yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Makuhani, Walawi, waimbaji, mabawabu, na watumishi wa Hekalu waliishi katika miji yao wenyewe, pamoja na baadhi ya watu wengine, nao Waisraeli waliosalia waliishi katika miji yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivyo makuhani, na Walawi, na baadhi ya watu, na waimbaji, na mabawabu, na Wanethini, wakakaa mijini mwao, naam, Israeli wote wakakaa mijini mwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, makuhani, Walawi na baadhi ya watu wengine wakaanza kuishi mjini Yerusalemu na katika vitongoji vyake. Nao waimbaji, walinzi wa hekalu na watumishi wa hekalu wakaanza kuishi katika miji yao; Waisraeli wote waliishi katika miji yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha watambikaji na Walawi, nao watu wengine na waimbaji na walinda malango nao watumishi wa Nyumbani mwa Mungu wakakaa katika miji yao, nao Waisiraeli wote wakakaa katika miji yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)