Ezra 4:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Barua yenyewe ilikuwa hivi: “Kwa mfalme Artashasta: Sisi watumishi wako katika mkoa wa magharibi ya Eufrate, tunakutumia salamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(Hii ndiyo nakala ya barua waliyompelekea.) Kwa Mfalme Artashasta, Kutoka kwa watumishi wako, watu wa Ng’ambo ya Mto Frati:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hii ndiyo nakili ya waraka waliyompelekea mfalme Artashasta;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Barua yenyewe ilikuwa hivi: “Kwa mfalme Artashasta: Sisi watumishi wako katika mkoa wa magharibi ya Eufrate, tunakutumia salamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Hii ndiyo nakala ya barua waliyompelekea.) Kwa Mfalme Artashasta, Kutoka kwa watumishi wako, watu wa Ng'ambo ya Mto Eufrati:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
(Hii ndiyo nakala ya barua waliyompelekea.) Kwa Mfalme Artashasta, Kutoka kwa watumishi wako, watu wa Ng’ambo ya Mto Frati:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hii ndiyo nakala ya waraka waliyompelekea mfalme Artashasta; Watumishi wako, watu walio ng'ambo ya Mto; nakadhalika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Barua yenyewe ilikuwa hivi: “Kwa mfalme Artashasta: Sisi watumishi wako katika mkoa wa magharibi ya Eufrate, tunakutumia salamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
basi, huu ndio mwandiko wa pili wa barua yao, waliyoituma kwake: Kwa mfalme Artasasta watumwa wako tunaokaa ng'ambo ya huku ya jito kubwa na penginepengine:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hii ndiyo nakili ya waraka waliyompelekea mfalme Artashasta; Watumishi wako, watu walio ng’ambo ya Mto; wakadhalika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mufalme Artasasta: Sisi watumishi wako katika jimbo la upande wa magaribi wa muto Furati, tunakutumia salamu.