Ezra 4:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Barua mliyonitumia imetafsiriwa na kusomwa mbele yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Barua mliyotutumia imesomwa na kutafsiriwa mbele yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ule waraka mlionipelekea umesomwa mbele yangu, nami nikaelewa na maana yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Barua mliyonitumia imetafsiriwa na kusomwa mbele yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Barua mliyotutumia imesomwa na kutafsiriwa mbele yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Barua mliyotutumia imesomwa na kutafsiriwa mbele yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ule waraka mliotutumia umesomwa wazi mbele yangu, nami nikauelewa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Barua mliyonitumia imetafsiriwa na kusomwa mbele yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Barua, mliyoituma kwetu, imesomwa masikioni pangu neno kwa neno.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ule waraka mlionipelekea umesomwa mbele yangu, nami nikaelewa na maana yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Barua muliyonitumia imetafsiriwa na kusomwa mbele yangu.