Ezra 4:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafalme wenye nguvu wamepata kuutawala mji huo pamoja na mkoa wa magharibi ya Eufrate wakitoza kodi, ushuru na ada.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yerusalemu umepata kuwa na wafalme wenye nguvu wakitawala nchi yote iliyo Ng’ambo ya Mto Frati, wakitoza kodi, ada na ushuru huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena walikuwako wafalme wakuu juu ya Yerusalemu, waliotawala nchi yote iliyo ng'ambo ya Mto; wakapewa kodi, na ada, na ushuru.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafalme wenye nguvu wamepata kuutawala mji huo pamoja na mkoa wa magharibi ya Eufrate wakitoza kodi, ushuru na ada.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yerusalemu umepata kuwa na wafalme wenye nguvu wakitawala nchi yote iliyo Ng'ambo ya Mto Eufrati, wakitoza kodi, ada na ushuru huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yerusalemu umepata kuwa na wafalme wenye nguvu wakitawala nchi yote iliyo Ng’ambo ya Mto Frati, wakitoza kodi, ada na ushuru huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena walikuwako wafalme wakuu juu ya Yerusalemu, waliotawala nchi yote iliyo ng'ambo ya Mto; wakapewa kodi, na ada, na ushuru.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafalme wenye nguvu wamepata kuutawala mji huo pamoja na mkoa wa magharibi ya Eufrate wakitoza kodi, ushuru na ada.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao Wafalme wenye nguvu walikuwamo Yerusalemu, wakazitawala nchi zote zilizoko ng'ambo ya huko ya jito kubwa, wakapewa kodi na ushuru wa forodhani na wa njiani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena walikuwako wafalme wakuu juu ya Yerusalemu, waliotawala nchi yote iliyo ng’ambo ya Mto; wakapewa kodi, na ada, na ushuru.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wafalme wenye nguvu wamepata kuutawala muji ule pamoja na jimbo la upande wa magaribi wa Furati wakilipisha kodi, malipo ya kuvuka mipaka na mengine.