Ezra 4:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena, angalieni sana msichelewe kufanya hivyo, nisije nikapata hasara.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwe waangalifu msipuuze jambo hili. Kwa nini kuruhusu tishio hili kuendelea na kusababisha hasara kwa ufalme?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena jihadharini, msilegee katika jambo hili; kwa nini madhara yazidi, na wafalme wapate hasara?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena, angalieni sana msichelewe kufanya hivyo, nisije nikapata hasara.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwe waangalifu msipuuze jambo hili. Kwa nini kuruhusu tishio hili kuendelea na kusababisha hasara kwa ufalme?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwe waangalifu msipuuze jambo hili. Kwa nini kuruhusu tishio hili kuendelea na kusababisha hasara kwa ufalme?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena jihadharini, msilegee katika jambo hili; kwa nini madhara yazidi, na wafalme wapate hasara?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena, angalieni sana msichelewe kufanya hivyo, nisije nikapata hasara.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nanyi mwangalie, msipoteze njia ya kulitengeneza jambo hili, wafalme wasipatwe na hasara kubwa wakipunguziwa mali zao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena jihadharini, msilegee katika jambo hili; kwa nini madhara yazidi, na wafalme wapate hasara?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena, muangalie sana musichelewe kufanya hivyo, kusudi nisipate hasara.