Ezra 5:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tuliwauliza pia majina yao ili tuweze kukujulisha wale wanaoongoza kazi hiyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia tuliwauliza majina yao, ili tukuandikie kukujulisha majina ya viongozi wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tukawauliza pia majina yao, ili kukuarifu wewe, tupate kuandika majina ya watu waliokuwa wakubwa wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tuliwauliza pia majina yao ili tuweze kukujulisha wale wanaoongoza kazi hiyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia tuliwauliza majina yao, ili tukuandikie kukujulisha majina ya viongozi wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia tuliwauliza majina yao, ili tukuandikie kukujulisha majina ya viongozi wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tukawauliza pia majina yao, ili kukuhakikishia, tupate kuandika majina ya watu waliokuwa wakubwa wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tuliwauliza pia majina yao ili tuweze kukujulisha wale wanaoongoza kazi hiyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tukawauliza nayo majina yao, tukujulishe; yakaandikwa majina yao walio vichwa vyao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tukawauliza pia majina yao, ili kukuarifu wewe, tupate kuandika majina ya watu waliokuwa wakubwa wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tukawauliza vilevile majina yao kusudi tuweze kukujulisha wale wanaoongoza kazi hiyo.