Ezra 5:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
achukue vyombo hivyo na kuvirudisha katika hekalu la Yerusalemu, na kuijenga upya nyumba ya Mungu mahali pake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
naye akamwambia, ‘Chukua vyombo hivi uende ukaviweke ndani ya Hekalu huko Yerusalemu. Nawe uijenge upya nyumba ya Mungu mahali pake.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naye akamwambia, Chukua vyombo hivi, uende, ukavitie katika hekalu lililoko Yerusalemu, na nyumba ya Mungu na ijengwe mahali pake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
achukue vyombo hivyo na kuvirudisha katika hekalu la Yerusalemu, na kuijenga upya nyumba ya Mungu mahali pake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
naye akamwambia, ‘Chukua vyombo hivi uende ukaviweke ndani ya Hekalu huko Yerusalemu. Nawe uijenge upya nyumba ya Mungu mahali pake.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
naye akamwambia, ‘Chukua vyombo hivi uende ukaviweke ndani ya Hekalu huko Yerusalemu. Nawe uijenge upya nyumba ya Mungu mahali pake.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye akamwambia, Chukua vyombo hivi, uende, ukavitie katika hekalu lililoko Yerusalemu, na nyumba ya Mungu na ijengwe mahali pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
achukue vyombo hivyo na kuvirudisha katika hekalu la Yerusalemu, na kuijenga upya nyumba ya Mungu mahali pake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akamwambia: Hivi vyombo vichukue kwenda navyo, kaviweke Jumbani mle Yerusalemu, nayo Nyumba ya Mungu na ijengwe hapo, ilipokuwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naye akamwambia, Chukua vyombo hivi, uende, ukavitie katika hekalu lililoko Yerusalemu, na nyumba ya Mungu na ijengwe mahali pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Utwae vyombo hivyo na kuvirudisha katika hekalu la Yerusalema, na kuijenga upya nyumba ya Mungu pahali pake.”