Ezra 5:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pia waliuliza, “Ni akina nani wanaojenga nyumba hii? Tunataka majina yao.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia waliwauliza, “Je, majina ya watu wanaofanya ujenzi huu ni nani?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo wakawauliza hivi, Majina ya watu wanaofanya ujenzi huu ni nani na nani?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pia waliuliza, “Ni akina nani wanaojenga nyumba hii? Tunataka majina yao.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia waliwauliza, “Je, majina ya watu wanaofanya ujenzi huu ni nani?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia waliwauliza, “Je, majina ya watu wanaofanya ujenzi huu ni nani?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo wakawauliza hivi, Majina ya watu wanaofanya ujenzi huu ni nani?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pia waliuliza, “Ni akina nani wanaojenga nyumba hii? Tunataka majina yao.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, tulipowaambia hayo majina ya watu waliolijenga jengo hili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo wakawauliza hivi, Majina ya watu wanaofanya ujenzi huu ni nani na nani?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena wakauliza: “Ni nani wanaojenga nyumba hii? Tunataka majina yao.”