Ezra 5:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ifuatayo ni ripoti waliyompelekea mfalme: “Kwa mfalme Dario; tunakutakia amani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Taarifa waliyompelekea ilisomeka kama ifuatavyo: Kwa Mfalme Dario: Salamu kwa moyo mkunjufu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
walimpelekea waraka nao; na maneno haya yakaandikwa ndani yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ifuatayo ni ripoti waliyompelekea mfalme: “Kwa mfalme Dario; tunakutakia amani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Taarifa waliyompelekea ilisomeka kama ifuatavyo: Kwa Mfalme Dario: Salamu kwa moyo mkunjufu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Taarifa waliyompelekea ilisomeka kama ifuatavyo: Kwa Mfalme Dario: Salamu kwa moyo mkunjufu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walimtumia ripoti; na maneno haya yakaandikwa ndani yake; Kwa Dario, mfalme Salamu sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ifuatayo ni ripoti waliyompelekea mfalme: “Kwa mfalme Dario; tunakutakia amani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika barua hiyo, waliyoituma kwake, yalikuwa yameandikwa haya: Salamu zote kwa mfalme Dario!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
walimpelekea waraka nao; na maneno haya yakaandikwa ndani yake; Kwa Dario, mfalme Salamu sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walimutumia mufalme barua iliyoandikwa hivi: Kwa mufalme Dario, tunakutakia amani.