Ezra 5:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tuliwauliza viongozi hao watuambie ni nani aliyewapa amri ya kuijenga upya nyumba hii mpaka kuimaliza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tuliwauliza viongozi, “Ni nani aliyewapa ruhusa kujenga upya Hekalu hili na kurejesha hali ya jengo kama lilivyokuwa?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo tukawauliza wale wazee, tukawaambia hivi, Ni nani aliyewapa amri kuijenga nyumba hii, na kuumaliza ukuta huu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tuliwauliza viongozi hao watuambie ni nani aliyewapa amri ya kuijenga upya nyumba hii mpaka kuimaliza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tuliwauliza viongozi, “Ni nani aliyewapa ruhusa kujenga upya Hekalu hili na kurejesha hali ya jengo kama lilivyokuwa?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tuliwauliza viongozi, “Ni nani aliyewapa ruhusa kujenga upya Hekalu hili na kurejeza hali ya jengo kama lilivyokuwa?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo tukawauliza wale wazee, tukawaambia hivi, Ni nani aliyewapa amri kuijenga nyumba hii, na kuumaliza ukuta huu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tuliwauliza viongozi hao watuambie ni nani aliyewapa amri ya kuijenga upya nyumba hii mpaka kuimaliza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, tulipowauliza wazee wale na kuwaambia haya: Ni nani aliyewaagiza kuijenga nyumba hii na kuzimaliza hizi kuta?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo tukawauliza wale wazee, tukawaambia hivi, Ni nani aliyewapa amri kuijenga nyumba hii, na kuumaliza ukuta huu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)