Ezra 6:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kitabu kilipatikana mjini Ekbatana katika mkoa wa Media, nacho kilikuwa na maagizo yafuatayo:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kitabu kilipatikana katika ngome la Ekbatana katika jimbo la Umedi; kilikuwa kimeandikwa hivi: Kumbukumbu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na chuo kimoja kilipatikana huko Akmetha, katika nyumba ya mfalme iliyo katika wilaya ya Umedi, na ndani yake maneno haya yameandikwa ili yakumbukwe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kitabu kilipatikana mjini Ekbatana katika mkoa wa Media, nacho kilikuwa na maagizo yafuatayo:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Karatasi moja ndefu ya maandishi ilipatikana huko Ekbatana katika jimbo la Umedi. Haya ndiyo yaliyokuwa yameandikwa humo: Kumbukumbu:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Karatasi moja ndefu ya maandishi ilipatikana huko Ekbatana katika jimbo la Umedi. Haya ndiyo yaliyokuwa yameandikwa humo: Kumbukumbu:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kitabu kimoja kilipatikana huko Akmetha, katika nyumba ya mfalme iliyo katika wilaya ya Umedi, na ndani yake maneno haya yameandikwa ili yakumbukwe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kitabu kilipatikana mjini Ekbatana katika mkoa wa Media, nacho kilikuwa na maagizo yafuatayo:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha kikaoneka kizingo cha karatasi katika mji wa Ahimeta katika nchi ya Media; ndimo, nalo jumba la mfalme lilimokuwa. Ile karatasi ilikuwa imeandikwa: Ukumbusho.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na chuo kimoja kilipatikana huko Akmetha, katika nyumba ya mfalme iliyo katika wilaya ya Umedi, na ndani yake maneno haya yameandikwa ili yakumbukwe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kitabu kikapatikana katika muji wa Akimeta katika jimbo la Media, nacho kilikuwa na maagizo haya: