Ezra 6:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuta zake zitajengwa kwa safu moja ya miti juu ya kila safu tatu za mawe makubwa. Gharama zote zilipwe kutoka katika hazina ya mfalme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kuta zijengwe kwa safu tatu za mawe makubwa kisha ifuate safu moja ya mbao. Gharama zitalipwa kutoka hazina ya mfalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ziwepo safu tatu za mawe makubwa, na safu moja ya miti mipya; gharama zake zitolewe katika nyumba ya mfalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuta zake zitajengwa kwa safu moja ya miti juu ya kila safu tatu za mawe makubwa. Gharama zote zilipwe kutoka katika hazina ya mfalme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kuta zijengwe kwa safu tatu za mawe makubwa kisha ifuate safu moja ya mbao. Gharama zitalipwa kutoka katika hazina ya mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kuta zijengwe kwa safu tatu za mawe makubwa kisha ifuate safu moja ya mbao. Gharama zitalipwa kutoka hazina ya mfalme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ziwepo safu tatu za mawe makubwa, na safu moja ya miti mipya; gharama zake zitolewe katika nyumba ya mfalme.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuta zake zitajengwa kwa safu moja ya miti juu ya kila safu tatu za mawe makubwa. Gharama zote zilipwe kutoka katika hazina ya mfalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waweke masafu matatu ya mawe makubwa ya kuchonga, tena safu moja la mbao mpya; nazo fedha za kulipa wapewe, zitoke nyumbani mwa mfalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ziwepo safu tatu za mawe makubwa, na safu moja ya miti mipya; gharama zake zitolewe katika nyumba ya mfalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuta zake zitajengwa kwa mustari mumoja wa miti juu ya kila mistari tatu ya mawe makubwa. Mali itakayotumiwa kwa kazi ile itatoka katika hazina ya mufalme.