Ezra 6:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na acheni kazi ya ujenzi wa nyumba hii ya Mungu iendelee. Mwacheni mtawala wa Yuda na viongozi wa Wayahudi waijenge nyumba ya Mungu mahali pake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msiingilie kazi ya Hekalu hili la Mungu. Mwacheni mtawala wa Wayahudi na viongozi Wayahudi wajenge upya nyumba hii ya Mungu mahali pake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
iacheni kazi hii ya nyumba ya Mungu, msiizuie; waacheni liwali wa Wayahudi, na wazee wa Wayahudi, waijenge nyumba hii ya Mungu mahali pake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na acheni kazi ya ujenzi wa nyumba hii ya Mungu iendelee. Mwacheni mtawala wa Yuda na viongozi wa Wayahudi waijenge nyumba ya Mungu mahali pake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msiingilie kazi ya Hekalu hili la Mungu. Mwacheni mtawala wa Wayahudi na viongozi Wayahudi wajenge upya nyumba hii ya Mungu mahali pake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msiingilie kazi ya Hekalu hili la Mungu. Mwacheni mtawala wa Wayahudi na viongozi Wayahudi wajenge upya nyumba hii ya Mungu mahali pake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
iacheni kazi hii ya nyumba ya Mungu, msiizuie; mwacheni Mkuu wa mkoa wa Wayahudi, na wazee wa Wayahudi, waijenge nyumba hii ya Mungu mahali pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na acheni kazi ya ujenzi wa nyumba hii ya Mungu iendelee. Mwacheni mtawala wa Yuda na viongozi wa Wayahudi waijenge nyumba ya Mungu mahali pake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waacheni, kazi za Nyumba hii ya Mungu ziendelee, mtawala nchi wa Wayuda na wazee wa Wayuda waijenge Nyumba hiyo ya Mungu hapo, ilipokuwa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
iacheni kazi hii ya nyumba ya Mungu, msiizuie; waacheni liwali wa Wayahudi, na wazee wa Wayahudi, waijenge nyumba hii ya Mungu mahali pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na muache kazi ya ujenzi wa nyumba hii ya Mungu iendelee. Muache mutawala wa Yuda na viongozi wa Wayuda waijenge nyumba ya Mungu pahali pake.