Ezra 7:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kutoka kwa Artashasta, mfalme wa wafalme, kwa Ezra, kuhani na mtu mwenye ujuzi katika sheria ya Mungu wa mbinguni; Wasalaam!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Artashasta, mfalme wa wafalme, Kwa Ezra kuhani, mwalimu wa Torati ya Mungu wa mbinguni: Salamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Artashasta, mfalme wa wafalme, kwa Ezra, kuhani, mwandishi wa torati ya Mungu wa mbinguni, salamu kamili; wakadhalika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kutoka kwa Artashasta, mfalme wa wafalme, kwa Ezra, kuhani na mtu mwenye ujuzi katika sheria ya Mungu wa mbinguni; Wasalaam!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Artashasta, mfalme wa wafalme, Kwa Ezra kuhani, mwalimu wa Sheria ya Mungu wa mbinguni: Salaam.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Artashasta, mfalme wa wafalme, Kwa Ezra kuhani, mwalimu wa Torati ya Mungu wa mbinguni: Salamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Artashasta, mfalme wa wafalme, kwa Ezra, kuhani, mwandishi wa Torati ya Mungu wa mbinguni, wasalamu; na kadhalika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kutoka kwa Artashasta, mfalme wa wafalme, kwa Ezra, kuhani na mtu mwenye ujuzi katika sheria ya Mungu wa mbinguni; Wasalaam!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Artasasta, mfalme wa wafalme, kwa mtambikaji Ezera anayeyajua vema maagizo ya Mungu wa mbingu: Salamu zote na mengine yafuatayo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Artashasta, mfalme wa wafalme, kwa Ezra, kuhani, mwandishi wa torati ya Mungu wa mbinguni, salamu kamili; wakadhalika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi Artasasta, mufalme wa wafalme, ninatuma barua hii kwa Ezra, kuhani na mutu mwenye ujuzi katika Sheria ya Mungu wa mbinguni.