Ezra 7:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ninaamuru kwamba katika utawala wangu, Mwisraeli yeyote, au kuhani wao, au Mlawi, akitaka kurudi Yerusalemu kwa hiari yake, anaweza kwenda pamoja nawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa naamuru kwamba mtu yeyote Mwisraeli katika ufalme wangu, pamoja na makuhani na Walawi, ambaye anataka kwenda Yerusalemu pamoja nawe aweza kwenda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Natoa amri ya kwamba wote walio wa watu wa Israeli, na makuhani wao, na Walawi, katika ufalme wangu, wenye nia ya kwenda Yerusalemu kwa hiari yao wenyewe, waende pamoja nawe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ninaamuru kwamba katika utawala wangu, Mwisraeli yeyote, au kuhani wao, au Mlawi, akitaka kurudi Yerusalemu kwa hiari yake, anaweza kwenda pamoja nawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa naamuru kwamba mtu ye yote Mwisraeli katika ufalme wangu, pamoja na makuhani na Walawi, ambaye anataka kwenda Yerusalemu pamoja nawe aweza kwenda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa naamuru kwamba mtu yeyote Mwisraeli katika ufalme wangu, pamoja na makuhani na Walawi, ambaye anataka kwenda Yerusalemu pamoja nawe aweza kwenda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Natoa amri ya kwamba watu wote walio wa Israeli, na makuhani wao, na Walawi, katika ufalme wangu, wenye nia ya kwenda Yerusalemu kwa hiari yao wenyewe, waende pamoja nawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ninaamuru kwamba katika utawala wangu, Mwisraeli yeyote, au kuhani wao, au Mlawi, akitaka kurudi Yerusalemu kwa hiari yake, anaweza kwenda pamoja nawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi nimetoa amri kwamba: katika ufalme wangu kila aliye wa ukoo wa Isiraeli na watambikaji na Walawi, akitaka mwenyewe kwenda Yerusalemu, na aende na wewe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Natoa amri ya kwamba wote walio wa watu wa Israeli, na makuhani wao, na Walawi, katika ufalme wangu, wenye nia ya kwenda Yerusalemu kwa hiari yao wenyewe, waende pamoja nawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninaamuru kwamba katika utawala wangu, Mwisraeli yeyote, au kuhani wao, au Mulawi, akitaka kurudi Yerusalema kwa mapenzi yake, anaweza kwenda pamoja nawe.