Ezra 7:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mimi pamoja na washauri wangu saba, tunakutuma uende ufanye uchunguzi huko Yuda na Yerusalemu kuona kama sheria ya Mungu wako ambayo umekabidhiwa inafuatwa kikamilifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unatumwa na mfalme na washauri wake saba kuchunguza habari za Yuda na Yerusalemu kulingana na Torati ya Mungu wako, iliyo mkononi mwako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa umetumwa na mfalme, na washauri wake saba, ili kuuliza habari za Yuda na Yerusalemu, kwa sheria ya Mungu wako iliyo mkononi mwako;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mimi pamoja na washauri wangu saba, tunakutuma uende ufanye uchunguzi huko Yuda na Yerusalemu kuona kama sheria ya Mungu wako ambayo umekabidhiwa inafuatwa kikamilifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unatumwa na mfalme na washauri wake saba kuchunguza kuhusu Yuda na Yerusalemu kulingana na Sheria ya Mungu wako, iliyoko mkononi mwako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unatumwa na mfalme na washauri wake saba kuchunguza kuhusu Yuda na Yerusalemu kulingana na Torati ya Mungu wako, iliyoko mkononi mwako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa umetumwa na mfalme, na washauri wake saba, ili kuuliza habari za Yuda na Yerusalemu, kwa sheria ya Mungu wako iliyo mkononi mwako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mimi pamoja na washauri wangu saba, tunakutuma uende ufanye uchunguzi huko Yuda na Yerusalemu kuona kama sheria ya Mungu wako ambayo umekabidhiwa inafuatwa kikamilifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani unatumwa na mfalme na wakuu wake saba wanaokula njama naye, uje kuyachunguza mambo ya Yuda na ya Yerusalemu, kama yanapatana na Maonyo ya Mungu wako yaliyomo mkononi mwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa umetumwa na mfalme, na washauri wake saba, ili kuuliza habari za Yuda na Yerusalemu, kwa sheria ya Mungu wako iliyo mkononi mwako;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi pamoja na washauri wangu saba, tunakutuma uende ufanye uchunguzi kule Yuda na Yerusalema kuona kama Sheria ya Mungu wako ambayo umepewa inafuatwa kikamilifu.