Ezra 7:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utachukua fedha na dhahabu ambayo mimi na washauri wangu tumemtolea kwa hiari Mungu wa Israeli ambaye hekalu lake limo mjini Yerusalemu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Zaidi ya hayo, uchukue fedha na dhahabu ambazo mfalme na washauri wake wamempa Mungu wa Israeli kwa hiari, Mungu ambaye maskani yake yako Yerusalemu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kuichukua fedha na dhahabu, ambayo mfalme, na washauri wake, kwa hiari yao, wamemtolea Mungu wa Israeli, akaaye Yerusalemu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utachukua fedha na dhahabu ambayo mimi na washauri wangu tumemtolea kwa hiari Mungu wa Israeli ambaye hekalu lake limo mjini Yerusalemu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Zaidi ya hayo, uchukue pamoja nawe fedha na dhahabu ambayo mfalme na washauri wake wamempa Mungu wa Israeli kwa hiari, Mungu ambaye maskani yake yako Yerusalemu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Zaidi ya hayo, uchukue pamoja nawe fedha na dhahabu ambazo mfalme na washauri wake wamempa Mungu wa Israeli kwa hiari, Mungu ambaye maskani yake yako Yerusalemu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kuichukua fedha na dhahabu, ambayo mfalme, na washauri wake, kwa hiari yao, wamemtolea Mungu wa Israeli, akaaye Yerusalemu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utachukua fedha na dhahabu ambayo mimi na washauri wangu tumemtolea kwa hiari Mungu wa Israeli ambaye hekalu lake limo mjini Yerusalemu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena uzipeleke fedha na dhahabu, mfalme na wakuu wake wanaokula njama naye wanazozitoa kwa kupenda wenyewe, wampe Mungu wa Isiraeli anayekaa Yerusalemu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kuichukua fedha na dhahabu, ambayo mfalme, na washauri wake, kwa hiari yao, wamemtolea Mungu wa Israeli, akaaye Yerusalemu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utatwaa feza na zahabu ambayo mimi na washauri wangu tumemutolea kwa utashi wetu Mungu wa Israeli ambaye hekalu lake liko katika muji Yerusalema.