Ezra 7:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Fedha na dhahabu itakayobaki unaweza kuitumia pamoja na wananchi wenzako kama mtakavyopenda, kufuatana na mapenzi ya Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wewe na Wayahudi ndugu zako mnaweza kufanya lolote linaloonekana jema sana kwa fedha na dhahabu zilizosalia, kulingana na mapenzi ya Mungu wenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na neno lo lote mtakaloona vema kulitenda, wewe na ndugu zako, kwa ile fedha na dhahabu itakayobaki, hilo litendeni, kama apendavyo Mungu wenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Fedha na dhahabu itakayobaki unaweza kuitumia pamoja na wananchi wenzako kama mtakavyopenda, kufuatana na mapenzi ya Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wewe na Wayahudi ndugu zako mnaweza kufanya lo lote linaloonekana jema sana kwa fedha na dhahabu iliyosalia, kulingana na mapenzi ya Mungu wenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wewe na Wayahudi ndugu zako mnaweza kufanya lolote linaloonekana jema sana kwa fedha na dhahabu zilizosalia, kulingana na mapenzi ya Mungu wenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na jambo lolote mtakaloona vema kulitenda, wewe na ndugu zako, kwa ile fedha na dhahabu itakayobaki, hilo litendeni, kama apendavyo Mungu wenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Fedha na dhahabu itakayobaki unaweza kuitumia pamoja na wananchi wenzako kama mtakavyopenda, kufuatana na mapenzi ya Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha fedha na dhahabu zitakazosalia zitumieni, kama wewe na ndugu zako mtakavyoona kuwa vema vya kumtumikia Mungu wenu, apendezwe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na neno lo lote mtakaloona vema kulitenda, wewe na ndugu zako, kwa ile fedha na dhahabu itakayobaki, hilo litendeni, kama apendavyo Mungu wenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Feza na zahabu itakayobaki unaweza kuitumia pamoja na wanainchi wenzako kama vile mutakavyopenda, kufuatana na mapenzi ya Mungu.