Ezra 7:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
fedha kiasi atakacho mpaka kufikia kilo 3,400, ngano kilo 10,000, divai lita 2,000, mafuta lita 2,000, na chumvi kiasi chochote atakachohitaji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
talanta mia moja za fedha, ngano kori mia moja, divai bathi mia moja, mafuta ya zeituni bathi mia moja, na chumvi kiasi chochote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hata kiasi cha talanta mia za fedha, na vipimo mia vya ngano, na bathi mia za divai, na bathi mia za mafuta, na chumvi bila kuuliza kiasi chake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
fedha kiasi atakacho mpaka kufikia kilo 3,400, ngano kilo 10,000, divai lita 2,000, mafuta lita 2,000, na chumvi kiasi chochote atakachohitaji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
talanta 100 za fedha, ngano kori 100, divai bathi 100, mafuta ya zeituni bathi 100 na chumvi kiasi cho chote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
talanta 100 za fedha, ngano kori 100, divai bathi 100, mafuta ya zeituni bathi 100, na chumvi kiasi chochote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hata kiasi cha talanta mia moja za fedha, na vipimo mia vya ngano, na bathi mia moja za divai, na bathi mia moja za mafuta na chumvi ya kiasi chochote kile.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
fedha kiasi atakacho mpaka kufikia kilo 3,400, ngano kilo 10,000, divai lita 2,000, mafuta lita 2,000, na chumvi kiasi chochote atakachohitaji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mpaka yapate vipande mia vya fedha, ndio milioni ya shilingi na frasila elfu za ngano na frasila mia za mvinyo na frasila mia za mafuta, tena chumvi pasipo kipimo cho chote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hata kiasi cha talanta mia za fedha, na vipimo mia vya ngano, na bathi mia za divai, na bathi mia za mafuta, na chumvi bila kuuliza kiasi chake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
feza kiasi anachotaka mpaka kufikia kilo elfu tatu mia ine, ngano kilo elfu kumi, divai litre elfu mbili, mafuta litre elfu mbili, na chumvi kiasi chochote atakachohitaji.