Ezra 7:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila kitu alichoagiza Mungu wa mbinguni kwa ajili ya nyumba yake, ni lazima kitekelezwe kikamilifu, asije akaukasirikia ufalme wangu au wanangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Chochote ambacho Mungu wa mbinguni ameagiza, kifanyike kwa ukamilifu kwa ajili ya Hekalu la Mungu wa mbinguni. Kwa nini pawepo ghadhabu dhidi ya utawala wa mfalme na wanawe?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kila neno litakaloamriwa na Mungu wa mbinguni, na litendeke halisi kwa ajili ya nyumba ya Mungu wa mbinguni. Kwa nini itokee ghadhabu juu ya ufalme wa mfalme na wanawe?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila kitu alichoagiza Mungu wa mbinguni kwa ajili ya nyumba yake, ni lazima kitekelezwe kikamilifu, asije akaukasirikia ufalme wangu au wanangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Cho chote ambacho Mungu wa mbinguni ameagiza, kifanyike kwa ukamilifu kwa ajili ya Hekalu la Mungu wa mbinguni. Kwa nini pawepo ghadhabu dhidi ya utawala wa mfalme na wanawe?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Chochote ambacho Mungu wa mbinguni ameagiza, kifanyike kwa ukamilifu kwa ajili ya Hekalu la Mungu wa mbinguni. Kwa nini pawepo ghadhabu dhidi ya utawala wa mfalme na wanawe?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kila neno litakaloamriwa na Mungu wa mbinguni, na litendeke kikamilifu kwa ajili ya nyumba ya Mungu wa mbinguni. Kwa nini itokee ghadhabu juu ya ufalme wa mfalme na wanawe?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila kitu alichoagiza Mungu wa mbinguni kwa ajili ya nyumba yake, ni lazima kitekelezwe kikamilifu, asije akaukasirikia ufalme wangu au wanangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yote, watakayoyataka kwa amri ya Mungu wa mbingu, sharti yafanyike vizuri, kwa kuwa ni ya Nyumba ya Mungu wa mbingu, ufalme wa mfalme na wanawe wasipatwe na makali yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kila neno litakaloamriwa na Mungu wa mbinguni, na litendeke halisi kwa ajili ya nyumba ya Mungu wa mbinguni. Kwa nini itokee ghadhabu juu ya ufalme wa mfalme na wanawe?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila kitu Mungu wa mbinguni alichoagiza kwa ajili ya nyumba yake, kinapaswa kutimizwa kikamilifu, kusudi asipate kukasirikia ufalme wangu au wana wangu.