Ezra 7:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu yeyote ambaye hatatii sheria ya Mungu wako na ya mfalme, na ahukumiwe mara moja: Kufa, kuhamishwa, kunyanganywa mali yake au kufungwa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeyote ambaye hataitii Torati ya Mungu wenu na pia sheria ya mfalme, hakika lazima aadhibiwe kwa kuuawa, kuhamishwa, kunyang’anywa mali au kufungwa gerezani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kila mtu asiyekubali kuitenda sheria ya Mungu wako, na sheria ya mfalme, na apatilizwe hukumu kwa bidii, kwamba ni kuuawa, au kwamba ni kuhamishwa, au kuondolewa mali yake, au kufungwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu yeyote ambaye hatatii sheria ya Mungu wako na ya mfalme, na ahukumiwe mara moja: kufa, kuhamishwa, kunyang'anywa mali yake au kufungwa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ye yote ambaye hataitii sheria ya Mungu wenu pia sheria ya mfalme, hakika lazima aadhibiwe kwa kuuawa, kuhamishwa, kunyang'anywa mali au kufungwa gerezani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeyote ambaye hataitii Torati ya Mungu wenu na pia sheria ya mfalme, hakika lazima aadhibiwe kwa kuuawa, kuhamishwa, kunyang’anywa mali au kufungwa gerezani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kila mtu asiyekubali kuitenda sheria ya Mungu wako, na sheria ya mfalme, na apatilizwe hukumu kali, iwe ni kuuawa, au ni kuhamishwa, au kunyang'anywa mali yake, au kufungwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu yeyote ambaye hatatii sheria ya Mungu wako na ya mfalme, na ahukumiwe mara moja: Kufa, kuhamishwa, kunyanganywa mali yake au kufungwa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kila mtu asiyeyafanya maagizo ya Mungu wako, nayo maagizo ya mfalme, sharti apatilizwe kwa ukali, kama ni kuuawa au kuhamishwa au kutozwa fedha au kufungwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kila mtu asiyekubali kuitenda sheria ya Mungu wako, na sheria ya mfalme, na apatilizwe hukumu kwa bidii, kwamba ni kuuawa, au kwamba ni kuhamishwa, au kuondolewa mali yake, au kufungwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu yeyote ambaye hatatii Sheria ya Mungu wako na ya mufalme, ahukumiwe mara moja: kufa, kuhamishwa, kunyanganywa mali yake au kufungwa.