Ezra 7:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa fadhili zake Mungu, nimepata msaada wa mfalme na maofisa wake wenye uwezo mkuu. Nilijipa moyo kwa kuwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, alikuwa pamoja nami, hata niliwakusanya viongozi wa Israeli ili warudi pamoja nami.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambaye ameniongezea kibali chake mbele ya mfalme, washauri wake na maafisa wote wa mfalme wenye uwezo. Kwa kuwa mkono wa Mwenyezi Mungu, Mungu wangu, ulikuwa pamoja nami, nilijipa moyo nikakusanya watu walio viongozi kutoka Israeli wakwee pamoja nami.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye amenifikilizia rehema zake mbele ya mfalme, na washauri wake, na mbele ya wakuu wote wa mfalme wenye mamlaka. Nami nikatiwa nguvu, kwa kadiri mkono wa Bwana, Mungu wangu, ulivyokuwa pamoja nami, nikawakusanya wakuu wote katika Israeli, ili wakwee pamoja nami.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa fadhili zake Mungu, nimepata msaada wa mfalme na maofisa wake wenye uwezo mkuu. Nilijipa moyo kwa kuwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, alikuwa pamoja nami, hata niliwakusanya viongozi wa Israeli ili warudi pamoja nami.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ambaye ameniongezea kibali chake mbele ya mfalme, washauri wake na maafisa wote wa mfalme wenye uwezo. Kwa kuwa mkono wa BWANA Mungu wangu ulikuwa pamoja nami, nilijipa moyo nikakusanya watu walio viongozi kutoka Israeli wakwee pamoja nami.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ambaye ameniongezea kibali chake mbele ya mfalme, washauri wake na maafisa wote wa mfalme wenye uwezo. Kwa kuwa mkono wa bwana Mwenyezi Mungu wangu ulikuwa pamoja nami, nilijipa moyo nikakusanya watu walio viongozi kutoka Israeli wakwee pamoja nami.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye amenifikishia rehema zake mbele ya mfalme, na washauri wake, na mbele ya wakuu wote wa mfalme wenye mamlaka. Nami nikatiwa nguvu, kwa kadiri mkono wa BWANA, Mungu wangu, ulivyokuwa pamoja nami, nikawakusanya wakuu wote katika Israeli, ili wakwee pamoja nami.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa fadhili zake Mungu, nimepata msaada wa mfalme na maofisa wake wenye uwezo mkuu. Nilijipa moyo kwa kuwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, alikuwa pamoja nami, hata niliwakusanya viongozi wa Israeli ili warudi pamoja nami.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi amenipatia upendeleo mbele ya mfalme na mbele ya wakuu wake wanaokula njama naye na mbele ya wakuu wote wa mfalme walio na nguvu; kwa hivyo, mkono wa Bwana Mungu wangu ulivyokuwa na mimi, nimejipa moyo wa kukusanya wakuu wa milango ya Waisiraeli, waje kupanda kwenda kwetu pamoja na mimi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye amenifikilizia rehema zake mbele ya mfalme, na washauri wake, na mbele ya wakuu wote wa mfalme wenye mamlaka. Nami nikatiwa nguvu, kwa kadiri mkono wa BWANA, Mungu wangu, ulivyokuwa pamoja nami, nikawakusanya wakuu wote katika Israeli, ili wakwee pa
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa wema wa Mungu, nimepata musaada wa mufalme na wakubwa wake wenye uwezo mukubwa. Nilipata nguvu kwa sababu Yawe, Mungu wangu, alikuwa pamoja nami, hata nikawakusanya viongozi wa Israeli kusudi warudi pamoja nami.”