Ezra 8:10 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shelomithi, mwana wa Yosifia, wa ukoo wa Bani, pamoja na wanaume 160.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wa wazao wa Bani, alikuwa Shelomithi mwana wa Yosifia na wanaume mia moja na sitini;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wa wana wa Binui, Shelomithi, mwana wa Yosifia; na pamoja naye wanaume mia na sitini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shelomithi, mwana wa Yosifia, wa ukoo wa Bani, pamoja na wanaume 160.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wa wazao wa Bani, alikuwa Shelomithi mwana wa Yosifia na wanaume 160 pamoja naye;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wa wazao wa Bani, alikuwa Shelomithi mwana wa Yosifia na wanaume 160 pamoja naye;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wa wana wa Binui, Shelomithi, mwana wa Yosifia; na pamoja naye wanaume mia moja na sitini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shelomithi, mwana wa Yosifia, wa ukoo wa Bani, pamoja na wanaume 160.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa wana wa Selomiti: mwana wa Yosifia, tena pamoja naye waume 160;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wa wana wa Binui, Shelomithi, mwana wa Yosifia; na pamoja naye wanaume mia na sitini.