Ezra 8:11 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zekaria, mwana wa Bebai, wa ukoo wa Bebai, pamoja na wanaume 28.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wa wazao wa Bebai, alikuwa Zekaria mwana wa Bebai na wanaume ishirini na nane;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wa wana wa Bebai, Zekaria, mwana wa Bebai; na pamoja naye wanaume ishirini na wanane.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zekaria, mwana wa Bebai, wa ukoo wa Bebai, pamoja na wanaume 28.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wa wazao wa Bebai, alikuwa Zekaria mwana wa Bebai na wanaume 28 pamoja naye;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wa wazao wa Bebai, alikuwa Zekaria mwana wa Bebai na wanaume 28 pamoja naye;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wa wana wa Bebai, Zekaria, mwana wa Bebai; na pamoja naye wanaume ishirini na wanane.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zekaria, mwana wa Bebai, wa ukoo wa Bebai, pamoja na wanaume 28.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa wana wa Bebai: Zakaria, mwana wa Bebai, tena pamoja naye waume 28;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wa wana wa Bebai, Zekaria, mwana wa Bebai; na pamoja naye wanaume ishirini na wanane.