Ezra 8:12 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yohanani, mwana wa Hakatani, wa ukoo wa Azgadi, pamoja na watu 110.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wa wazao wa Azgadi, alikuwa Yohanani mwana wa Hakatani na wanaume mia moja na kumi;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wa wana wa Azgadi, Yohana, mwana wa Hakatani; na pamoja naye wanaume mia na kumi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yohanani, mwana wa Hakatani, wa ukoo wa Azgadi, pamoja na watu 110.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wa wazao wa Azgadi, alikuwa Yohana mwana wa Hakatani na wanaume 110 pamoja naye;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wa wazao wa Azgadi, alikuwa Yohanani mwana wa Hakatani na wanaume 110 pamoja naye;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wa wana wa Azgadi, Yohana, mwana wa Hakatani; na pamoja naye wanaume mia moja na kumi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yohanani, mwana wa Hakatani, wa ukoo wa Azgadi, pamoja na watu 110.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa wana wa Azgadi: Yohana, mwana wa Katani, tena pamoja naye waume 110;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wa wana wa Azgadi, Yohana, mwana wa Hakatani; na pamoja naye wanaume mia na kumi.