Ezra 8:13 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Elifeleti, Yeueli na Shemaya, wa ukoo wa Adonikamu, pamoja na wanaume 60, (hawa walirudi baadaye).
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wa wazao wa Adonikamu: hawa walikuwa wa mwisho ambao majina yao ni Elifeleti, Yeueli, Shemaya na wanaume sitini;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wa wana wa Adonikamu, hawa waliokuwa wa mwisho, na hayo ndiyo majina yao, Elifeleti, na Yeueli, na Shemaya; na pamoja nao wanaume sitini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Elifeleti, Yeueli na Shemaya, wa ukoo wa Adonikamu, pamoja na wanaume 60, (hawa walirudi baadaye).
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wa wazao wa Adonikamu, hawa walikuwa wa mwisho ambao majina yao ni Elifeleti, Yeueli, Shemaya na wanaume 60 pamoja nao;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wa wazao wa Adonikamu: hawa walikuwa wa mwisho ambao majina yao ni Elifeleti, Yeueli, Shemaya na wanaume 60 pamoja nao;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wa wana wa Adonikamu, hawa waliokuwa wa mwisho, na hayo ndiyo majina yao, Elifeleti, na Yeueli, na Shemaya; na pamoja nao wanaume sitini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Elifeleti, Yeueli na Shemaya, wa ukoo wa Adonikamu, pamoja na wanaume 60, (hawa walirudi baadaye).
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa wana wa Adonikamu wako waliochelewa, majina yao ni haya: Elifeleti, Yieli na Semaya, tena pamoja nao waume 60;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wa wana wa Adonikamu, hawa waliokuwa wa mwisho, na hayo ndiyo majina yao, Elifeleti, na Yeueli, na Shemaya; na pamoja nao wanaume sitini.