Ezra 8:14 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uthai na Zakuri, wa ukoo wa Bigwai, pamoja na wanaume 70.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wa wazao wa Bigwai, walikuwa Uthai na Zakuri na wanaume sabini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wa wana wa Bigwai, Uthai, mwana wa Zabudi; na pamoja naye wanaume sabini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uthai na Zakuri, wa ukoo wa Bigwai, pamoja na wanaume 70.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wa wazao wa Bigwai, walikuwa Uthai na Zakuri na wanaume 70 pamoja nao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wa wazao wa Bigwai, walikuwa Uthai na Zakuri na wanaume 70 pamoja nao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wa wana wa Bigwai, Uthai, mwana wa Zabudi; na pamoja naye wanaume sabini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uthai na Zakuri, wa ukoo wa Bigwai, pamoja na wanaume 70.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa wana wa Bigwai: Utai na Zabudi, tena pamoja nao waume 70.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wa wana wa Bigwai, Uthai, mwana wa Zabudi; na pamoja naye wanaume sabini.