Ezra 8:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walituletea pia Hashabia na Yeshaya, wote wa ukoo wa Merari, pamoja na ndugu zao ishirini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye Hashabia, pamoja na Yeshaya kutoka wazao wa Merari na ndugu zake na wapwa wake, walikuwa wanaume ishirini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Hashabia, na pamoja naye Yeshaya, wa wana wa Merari, na ndugu zake na wana wao, watu ishirini;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walituletea pia Hashabia na Yeshaya, wote wa ukoo wa Merari, pamoja na ndugu zao ishirini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye Hashabia, pamoja na Yeshaya kutoka wazao wa Merari na ndugu zake na wapwa wake wanaume ishirini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye Hashabia, pamoja na Yeshaya kutoka wazao wa Merari na ndugu zake na wapwa wake wanaume ishirini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Hashabia, na pamoja naye Yeshaya, wa wana wa Merari, na ndugu zake na wana wao, watu ishirini;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walituletea pia Hashabia na Yeshaya, wote wa ukoo wa Merari, pamoja na ndugu zao ishirini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena Hasabia na pamoja naye Yesaya wa wana wa Merari na ndugu zake na wana wao, watu 20;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Hashabia, na pamoja naye Yeshaya, wa wana wa Merari, na ndugu zake na wana wao, watu ishirini;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakatuletea vilevile Hasabia na Yesaya, wote wa ukoo wa Merari, pamoja na wandugu zao makumi mbili.