Ezra 8:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbali na hao, kulikuwa na wahudumu wa hekalu 220 ambao babu zao walikuwa wamechaguliwa na mfalme Daudi na maofisa wake kuwasaidia Walawi. Majina ya watu wote hawa yaliorodheshwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vilevile walileta watumishi wa Hekalu mia mbili na ishirini, kikundi ambacho Daudi na maafisa walikuwa wamekianzisha ili kusaidia Walawi. Wote waliorodheshwa kwa majina.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na katika Wanethini, ambao Daudi, na wakuu, walikuwa wamewaweka kwa ajili ya utumishi wa Walawi, Wanethini mia mbili na ishirini; wote wametajwa kwa majina yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbali na hao, kulikuwa na wahudumu wa hekalu 220 ambao babu zao walikuwa wamechaguliwa na mfalme Daudi na maofisa wake kuwasaidia Walawi. Majina ya watu wote hawa yaliorodheshwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vile vile walileta Wanethini 220, kikundi ambacho Daudi na maafisa walikuwa wamekiweka kusaidia Walawi. Wote walikuwa wameorodheshwa kwa majina.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vilevile walileta watumishi wa Hekalu 220, kikundi ambacho Daudi na maafisa walikuwa wamekiweka kusaidia Walawi. Wote walikuwa wameorodheshwa kwa majina.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na katika Wanethini, ambao Daudi, na wakuu, walikuwa wamewaweka kwa ajili ya utumishi wa Walawi, Wanethini mia mbili na ishirini; wote wametajwa kwa majina yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbali na hao, kulikuwa na wahudumu wa hekalu 220 ambao babu zao walikuwa wamechaguliwa na mfalme Daudi na maofisa wake kuwasaidia Walawi. Majina ya watu wote hawa yaliorodheshwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena watumishi wa Nyumbani mwa Mungu, Dawidi na wakuu waliowapa Walawi, wawatumikie, hawa watumishi wa Nyumbani mwa Mungu walikuwa 220, wao wote walikuwa wameandikwa majina yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na katika Wanethini, ambao Daudi, na wakuu, walikuwa wamewaweka kwa ajili ya utumishi wa Walawi, Wanethini mia mbili na ishirini; wote wametajwa kwa majina yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaidi ya hao, kulikuwa watumishi wa hekalu mia mbili makumi mbili ambao babu zao walikuwa wamechaguliwa na mufalme Daudi na wakubwa wake kwa kuwasaidia Walawi. Majina ya watu wote hawa yameandikwa.