Ezra 8:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo tulifunga na kumwomba Mungu atulinde, naye aliyasikia maombi yetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo tulifunga na kumwomba Mungu wetu kuhusu jambo hili, naye akajibu maombi yetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi tukafunga, tukamsihi Mungu wetu kwa ajili ya hayo; naye akatutakabali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo tulifunga na kumwomba Mungu atulinde, naye aliyasikia maombi yetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo tulifunga na kumwomba Mungu wetu kuhusu jambo hili, naye akajibu maombi yetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo tulifunga na kumwomba Mungu wetu kuhusu jambo hili, naye akajibu maombi yetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi tukafunga, tukamsihi Mungu wetu kwa ajili ya hayo; naye akatutakabali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo tulifunga na kumwomba Mungu atulinde, naye aliyasikia maombi yetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tukafunga mfungo na kumwomba Mungu, atupatie hayo mema, naye akatuitikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi tukafunga, tukamsihi Mungu wetu kwa ajili ya hayo; naye akatutakabali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo tukafunga na kumwomba Mungu atulinde, naye akayasikia maombi yetu.