Ezra 8:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu kati ya makuhani waliokuwa viongozi nilichagua kumi na wawili: Sherebia, Hashabia pamoja na wenzao kumi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha niliwatenga viongozi wa makuhani kumi na wawili, pamoja na Sherebia, Hashabia na ndugu zao kumi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo nikawatenga watu kumi na wawili wa wakuu wa makuhani, nao ni Sherebia, na Hashabia, na watu kumi wa ndugu zao pamoja nao,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu kati ya makuhani waliokuwa viongozi nilichagua kumi na wawili: Sherebia, Hashabia pamoja na wenzao kumi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha niliwatenga viongozi wa makuhani kumi na wawili, pamoja na Sherebia, Hashabia na ndugu zao kumi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha niliwatenga viongozi wa makuhani kumi na wawili, pamoja na Sherebia, Hashabia na ndugu zao kumi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo nikawatenga watu kumi na wawili wa wakuu wa makuhani, nao ni Sherebia, na Hashabia, na watu kumi wa ndugu zao pamoja nao,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu kati ya makuhani waliokuwa viongozi nilichagua kumi na wawili: Sherebia, Hashabia pamoja na wenzao kumi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha nikachagua katika wakuu wa watambikaji watu 12, ndio Serebia na Hasabia na pamoja nao ndugu zao kumi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo nikawatenga watu kumi na wawili wa wakuu wa makuhani, nao ni Sherebia, na Hashabia, na watu kumi wa ndugu zao pamoja nao,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu kati ya makuhani waliokuwa viongozi nikachagua kumi na wawili: Serebia, Hasabia pamoja na wenzao kumi.