Ezra 8:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hawa niliwapimia kwa mizani fedha, dhahabu na vyombo ambavyo mfalme, washauri wake, maofisa wake pamoja na watu wa Israeli walivyokuwa wamevitoa kwa ajili ya sadaka ya nyumba ya Mungu wetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nami nikawapimia fedha, dhahabu na vifaa ambavyo mfalme, washauri wake, maafisa wake na Waisraeli wote waliokuwepo walikuwa wamevitoa sadaka kwa ajili ya nyumba ya Mungu wetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nami nikawapimia kwa mizani zile fedha, na dhahabu, na vile vyombo, matoleo kwa ajili ya nyumba ya Mungu wetu, ambayo mfalme, na washauri wake, na wakuu wake, na Israeli wote waliokuwapo, walikuwa wameyatoa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hawa niliwapimia kwa mizani fedha, dhahabu na vyombo ambavyo mfalme, washauri wake, maofisa wake pamoja na watu wa Israeli walivyokuwa wamevitoa kwa ajili ya sadaka ya nyumba ya Mungu wetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nami nikawapimia fedha, dhahabu na vifaa ambavyo mfalme, washauri wake, maafisa wake na Israeli wote waliokuwapo walikuwa wamevitoa sadaka kwa ajili ya nyumba ya Mungu wetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nami nikawapimia fedha, dhahabu na vifaa ambavyo mfalme, washauri wake, maafisa wake na Israeli wote waliokuwepo walikuwa wamevitoa sadaka kwa ajili ya nyumba ya Mungu wetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nami nikawapimia kwa mizani zile fedha, na dhahabu, na vile vyombo, matoleo kwa ajili ya nyumba ya Mungu wetu, ambayo mfalme, na washauri wake, na wakuu wake, na Waisraeli wote waliokuwapo, walikuwa wameyatoa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hawa niliwapimia kwa mizani fedha, dhahabu na vyombo ambavyo mfalme, washauri wake, maofisa wake pamoja na watu wa Israeli walivyokuwa wamevitoa kwa ajili ya sadaka ya nyumba ya Mungu wetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nikawapa na kuzipima zile fedha na dhahabu na vile vyombo, Nyumba ya Mungu wetu ilivyotolewa, walivyovitoa mfalme na wenzake wa njama zake na wakuu wake nao Waisiraeli wote walioonekana huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nami nikawapimia kwa mizani zile fedha, na dhahabu, na vile vyombo, matoleo kwa ajili ya nyumba ya Mungu wetu, ambayo mfalme, na washauri wake, na wakuu wake, na Israeli wote waliokuwapo, walikuwa wameyatoa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hawa nikawapimia kwa mizani feza, zahabu na vyombo ambavyo mufalme, washauri wake, wakubwa wake pamoja na watu wa Israeli walivyokuwa wamevitoa kwa ajili ya sadaka ya nyumba ya Mungu wetu.