Ezra 8:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivi ndivyo vitu nilivyowapimia: Fedha tani 22, vyombo 100 vya fedha, uzito wake kilo 70, dhahabu kilo 3400,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Niliwapimia talanta mia sita na hamsini za fedha, vifaa vingine vya fedha vya uzito wa talanta mia moja, talanta mia moja za dhahabu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nami nikawapimia mikononi mwao talanta za fedha mia sita na hamsini na vyombo vya fedha talanta mia; na talanta mia za dhahabu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivi ndivyo vitu nilivyowapimia: fedha tani 22, vyombo 100 vya fedha, uzito wake kilo 70, dhahabu kilo 3,400,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Niliwapimia talanta 650 za fedha, vifaa vingine vya fedha talanta 100, talanta 100 za dhahabu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Niliwapimia talanta 650 za fedha, vifaa vingine vya fedha vya uzito wa talanta mia moja, talanta mia moja za dhahabu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nami nikawapimia mikononi mwao talanta za fedha mia sita na hamsini na vyombo vya fedha talanta mia moja; na talanta mia moja za dhahabu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivi ndivyo vitu nilivyowapimia: Fedha tani 22, vyombo 100 vya fedha, uzito wake kilo 70, dhahabu kilo 3400,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikawapa mikononi mwao na kuzipima: fedha vipande 650, ndio shilingi kama milioni 7 na 800000, na vyombo vya fedha vipande 100, ndio shilingi kama milioni na 200000, na dhahabu vipande 100, ndio shilingi kama milioni 22;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nami nikawapimia mikononi mwao talanta za fedha mia sita na hamsini na vyombo vya fedha talanta mia; na talanta mia za dhahabu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivi ndivyo vitu nilivyowapimia: feza toni makumi mbili na mbili, vyombo mia moja vya feza, uzito wake kilo makumi saba, zahabu kilo elfu tatu na mia ine,