Ezra 8:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mabakuli 20 ya dhahabu, uzito wake kilo 8, vyombo viwili vya shaba nzuri iliyongaa yenye thamani kama ya dhahabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mabakuli ishirini ya dhahabu ya thamani ya darkoni elfu moja, na vyombo viwili vya shaba iliyosuguliwa, ya thamani kama dhahabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mabakuli ishirini ya dhahabu, thamani yake darkoni elfu; na vyombo viwili vya shaba nzuri iliyong'aa, thamani yake sawa na dhahabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mabakuli 20 ya dhahabu, uzito wake kilo 8, vyombo viwili vya shaba nzuri iliyong'aa yenye thamani kama ya dhahabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mabakuli ishirini ya dhahabu thamani yake darkoni 1,000 na vyombo viwili vilivyonakshiwa kwa shaba, thamani yake sawa na dhahabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mabakuli ishirini ya dhahabu ya thamani ya darkoni elfu moja, na vyombo viwili vya shaba iliyosuguliwa, ya thamani kama dhahabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mabakuli ishirini ya dhahabu, thamani yake darkoni elfu moja; na vyombo viwili vya shaba nzuri iliyong'aa, thamani yake sawa na dhahabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mabakuli 20 ya dhahabu, uzito wake kilo 8, vyombo viwili vya shaba nzuri iliyongaa yenye thamani kama ya dhahabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena vinyweo vya dhahabu 20, kima chao ni dariko 1000, ndio shilingi kama 40000, tena vyombo viwili vizuri vya shaba vilivyometuka kama dhahabu, kima chao kilikuwa sawa na dhahabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mabakuli ishirini ya dhahabu, thamani yake darkoni elfu; na vyombo viwili vya shaba nzuri iliyong’aa, thamani yake sawa na dhahabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mabakuli makumi mbili ya zahabu, uzito wake kilo nane, vyombo viwili vya shaba nzuri iliyongaa yenye bei kama ya zahabu.