Ezra 8:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tafadhali vilindeni na vitunzeni mpaka mtakapovipima mbele ya makuhani wakuu, Walawi na viongozi wa koo za Israeli, huko Yerusalemu katika vyumba vya nyumba ya Mwenyezi-Mungu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vilindeni kwa uangalifu hadi mtakapovipima ndani ya vyumba vya nyumba ya Mwenyezi Mungu katika Yerusalemu mbele ya makuhani, viongozi na Walawi pamoja na wakuu wa jamaa za Israeli.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, angalieni, na kuvitunza vitu hivi, hata mtakapovipima mbele ya wakuu wa makuhani, na Walawi, na wakuu wa mbari za mababa wa Israeli, huko Yerusalemu, katika vyumba vya nyumba ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tafadhali vilindeni na vitunzeni mpaka mtakapovipima mbele ya makuhani wakuu, Walawi na viongozi wa koo za Israeli, huko Yerusalemu katika vyumba vya nyumba ya Mwenyezi-Mungu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vilindeni kwa uangalifu mpaka mtakapovipima ndani ya vyumba vya nyumba ya BWANA katika Yerusalemu mbele ya makuhani, viongozi na Walawi pamoja na wakuu wa jamaa za Israeli.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vilindeni kwa uangalifu mpaka mtakapovipima ndani ya vyumba vya nyumba ya bwana katika Yerusalemu mbele ya makuhani, viongozi na Walawi pamoja na wakuu wa jamaa za Israeli.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, angalieni, na kuvitunza vitu hivi, hata mtakapovipima mbele ya wakuu wa makuhani, na Walawi, na wakuu wa koo za mababa wa Israeli, huko Yerusalemu, katika vyumba vya nyumba ya BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tafadhali vilindeni na vitunzeni mpaka mtakapovipima mbele ya makuhani wakuu, Walawi na viongozi wa koo za Israeli, huko Yerusalemu katika vyumba vya nyumba ya Mwenyezi-Mungu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo mviangalie sana na kuvilinda, mpaka mtakapovitoa na kuwapimia wakuu wa watambikaji na Walawi na wakuu wa milango ya Isiraeli kule Yerusalemu katika vyumba vya kando penye Nyumba ya Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, angalieni, na kuvitunza vitu hivi, hata mtakapovipima mbele ya wakuu wa makuhani, na Walawi, na wakuu wa mbari za mababa wa Israeli, huko Yerusalemu, katika vyumba vya nyumba ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tafazali muvilinde na muvitunze mpaka mutakapovipima mbele ya makuhani wakubwa, Walawi na viongozi wa ukoo za Israeli, kule Yerusalema katika vyumba vya nyumba ya Yawe.”