Ezra 8:3 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
aliyekuwa mwana wa Shekania. Zekaria, wa ukoo wa Paroshi, pamoja na wanaume 150 wa ukoo wake, walioandikishwa pamoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wa wazao wa Shekania; wa wazao wa Paroshi, alikuwa Zekaria, na watu mia moja na hamsini walioandikishwa;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wa wana wa Paroshi, Zekaria; na pamoja naye wakahesabiwa kwa nasaba wanaume mia na hamsini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
aliyekuwa mwana wa Shekania. Zekaria, wa ukoo wa Paroshi, pamoja na wanaume 150 wa ukoo wake, walioandikishwa pamoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wa wazao wa Shekania; wa wazao wa Paroshi, alikuwa Zekaria, na watu 150 walioandikishwa pamoja naye;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wa wazao wa Shekania; wa wazao wa Paroshi, alikuwa Zekaria, na watu 150 walioandikishwa pamoja naye;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wa wana wa Paroshi, Zekaria; na pamoja naye wakahesabiwa kwa nasaba wanaume mia moja na hamsini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
aliyekuwa mwana wa Shekania. Zekaria, wa ukoo wa Paroshi, pamoja na wanaume 150 wa ukoo wake, walioandikishwa pamoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wa wana wa Sekania; kwa wana wa parosi: Zakaria, tena pamoja naye wakaandikwa wa huo udugu waume 150;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wa wana wa Paroshi, Zekaria; na pamoja naye wakahesabiwa kwa nasaba wanaume mia na hamsini.