Ezra 8:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila kitu kilihesabiwa na kupimwa na wakati huo uzito wa kila kitu uliandikwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila kitu kilihesabiwa kwa idadi na kupimwa kwa uzito, nao uzito wote uliandikwa wakati ule.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
vile vyombo vyote kwa hesabu na kwa uzani; tena uzani wake wote uliandikwa wakati ule.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila kitu kilihesabiwa na kupimwa na wakati huo uzito wa kila kitu uliandikwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila kitu kilihesabiwa kwa idadi na kupimwa kwa uzito, nao uzito wote uliandikwa wakati ule.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila kitu kilihesabiwa kwa idadi na kupimwa kwa uzito, nao uzito wote uliandikwa wakati ule.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
vile vyombo vyote kwa hesabu na kwa uzani; tena uzani wake wote uliandikwa wakati ule.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila kitu kilihesabiwa na kupimwa na wakati huo uzito wa kila kitu uliandikwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vyote pia vikahesabiwa, vikapimwa, siku hiyo kikaandikwa kipimo chao vyote pamoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
vile vyombo vyote kwa hesabu na kwa uzani; tena uzani wake wote uliandikwa wakati ule.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)