Ezra 8:4 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Eliehoenai, mwana wa Zerahia, wa ukoo wa Pahath-moabu, pamoja na wanaume 200.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wa wazao wa Pahath-Moabu, alikuwa Eliehoenai mwana wa Zerahia na wanaume mia mbili;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wa wana wa Pahath-Moabu, Eliehoenai, mwana wa Zerahia; na pamoja naye wanaume mia mbili;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Eliehoenai, mwana wa Zerahia, wa ukoo wa Pahath-moabu, pamoja na wanaume 200.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wa wazao wa Pahath-Moabu, alikuwa Eliehoenai mwana wa Zerahia na wanaume 200 pamoja naye;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wa wazao wa Pahath-Moabu, alikuwa Eliehoenai mwana wa Zerahia na wanaume 200 pamoja naye;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wa wana wa Pahath-Moabu, Eliehoenai, mwana wa Zerahia; na pamoja naye wanaume mia mbili;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Eliehoenai, mwana wa Zerahia, wa ukoo wa Pahath-moabu, pamoja na wanaume 200.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa wana wa Pahati-Moabu: Elihoenai, mwana wa Zeraya, tena pamoja naye waume 200;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)