Ezra 8:5 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shekania, mwana wa Yahazieli, wa ukoo wa Zatu, pamoja na wanaume 300.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wa wazao wa Zatu, alikuwa Shekania mwana wa Yahazieli na wanaume mia tatu;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wa wana wa Zatu, Shekania, mwana wa Yahazieli; na pamoja naye wanaume mia tatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shekania, mwana wa Yahazieli, wa ukoo wa Zatu, pamoja na wanaume 300.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wa wazao wa Zatu, alikuwa Shekania mwana wa Yahazieli na wanaume 300 pamoja naye;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wa wazao wa Zatu, alikuwa Shekania mwana wa Yahazieli na wanaume 300 pamoja naye;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wa wana wa Zatu, Shekania, mwana wa Yahazieli; na pamoja naye wanaume mia tatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shekania, mwana wa Yahazieli, wa ukoo wa Zatu, pamoja na wanaume 300.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa wana wa Sekania: mwana wa Yahazieli, tena pamoja naye waume 300;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wa wana wa Zatu, Shekania, mwana wa Yahazieli; na pamoja naye wanaume mia tatu.